AMOS KIRINI ndio majina yangu halisi ila nafahamika kama AMMY VOICE kwenye tasnia ya sanaa.

Mwanzilishi na Mmiliki wa KIRINI MEDIA

Mimi ni-
•Actor
•Mwandishi wa maneno mazuri ya mapenzi
•Mshauri wa mahusiano
•videographer and photographer
•Editor
Ewe mfuatiliaji wa maneno mazuri ya mapenzi,
Usipitwe na usikose kufuatilia maneno mazuri yanayoletwa kwenu na
•Ammy voice

Maneno matamu yenye kuongeza Radha katika ndoa na mahusiano,
Pia simulizi nzuri za mapenzi, zinazokujia kila week siku ya ijumaa

Kwa Mawasiliano,
•For bookings - [email protected]
•Call/text me whatsapp +255628376326